Nenda kwa yaliyomo

Mgagani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mgagani
Migagani
Migagani
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Brassicales (Mimea kama kabichi)
Familia: Cleomaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mgagani)
Jenasi: Cleome (Migagani)
L.
Spishi: C. gynandra
(L.) Briq.

Migagani, migange, mikabili au miangani ni mimea ya jenasi Cleome katika familia na oda Brassicales (kabichi). Mgagani wa kawaida, Cleome gynandra, huliwa takriban kila mahali pa Afrika na katika mabara mengine pia. Wanawake wengi wenye mimba au waliozaa hula mmea huu, kwa sababu una chuma nyingi kiasi na husaidia kuongeza damu[1]. Mboga ya mgagani huitwa magagani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Blog kuhusu mgagani

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mgagani kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.