Mbono
Mbono (Jatropha curcas) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mbono au mbono kaburi (Jatropha curcas) ni mti au kichaka ambacho makokwa yake (mabono) yatoa mafuta yanayofaa. Mafuta haya hutumika ili kutengeneza mafuta ya kikaboni (biodiesel au petroli kutoka mimea).
Kuna vichaka vingine ambacho huitwa mbono pia, k.m.:
- mbono-bustani, spicy jatropha (Jatropha integerrima)
- mbono kibuyu, buddha belly plant (Jatropha podagrica)
- mbono mdogo, castor oil plant (Ricinus communis)
- mbono pembe, coral plant (Jatropha multifida)
- mbono wa kizungu, frangipani (Plumeria spp.)
Picha[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbono kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |