Wilaya ya Mbeya
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mbeya vijijini)
Wilaya ya Mbeya ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Mbeya.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,897 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 371,259 [2].
Wakazi wengi zaidi wa wilaya hii ni Wasafwa na Wamalila.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Mbeya Vijijini – Mkoa wa Mbeya - Tanzania | ||
---|---|---|
Bonde la Songwe | Igale | Igoma | Ihango | Ijombe | Ikukwa | Ilembo | Ilungu | Inyala | Isuto | Itawa | Itewe | Iwiji | Iwindi | Iyunga Mapinduzi | Izyira | Lwanjilo | Maendeleo | Mjele | Masoko | Mshewe | Nsalala | Santilya | Shizuvi | Swaya | Tembela | Ulenje | Utengule/Usongwe |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mbeya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |