Mbalungi-kubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mbalungi Mkubwa)
Mbalungi mkubwa
(Citrus maxima)
Mbalungi mkubwa
Mbalungi mkubwa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Rutaceae (Mimea iliyo na mnasaba na Ruta)
Jenasi: Citrus
Spishi: C. maxima
(Burm.) Merr.

Mbalungi-kubwa (jina la kisayansi: Citrus maxima; kwa Kiingereza pomelo) ni mti wa jamii ya mchungwa unaozaa mabalungi makubwa.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbalungi-kubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.