Mbaazi (mmea)
Mbaazi (Cajanus cajan) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mbaazi
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbaazi (Cajanus cajan) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa mbaazi pia. Mmea huu hukuzwa sana katika maeneo makavu ya tropiki na nusutropiki.
Picha[hariri | hariri chanzo]
-
Majani
-
Majani, maua na makaka
-
Ua na kaka bichi
-
Makaka mabivu
-
Kaka lililopasuka na mbaazi
-
Mbaazi
![]() |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbaazi (mmea) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |