Maurini wa Augen
Mandhari
Maurini wa Augen (pia: Maurin, Maurinus; alifariki karibu na Agen, Ufaransa, karne ya 6) alikuwa Mkristo anayesemekana aliuawa na Wapagani wakati wa kuinjilisha wakazi wa mashambani [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Novemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kifaransa) Abbé Barrière, Histoire religieuse et monumentale du diocèse d’Agen, Les Petits Bollandistes ; Vies des Saints, tome XIII.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |