Nenda kwa yaliyomo

Maura wa Troyes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Maura wa Troyes (Troyes, Ufaransa, 827 - Troyes, 21 Septemba, 850) alikuwa bikira wa ukoo maarufu ambaye alijitosa katika ibada na matendo ya huruma[1][2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu[2][4][5] .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Butler, Alban; Burns, Paul (2016-12-18). Butler's Lives of the Saints (kwa Kiingereza). Liturgical Press. uk. 202. ISBN 9780814623855 – kutoka Google Books.
  2. 2.0 2.1 "St. Maura Troyes - Saints & Angels - Catholic Online". Catholic Online. Iliwekwa mnamo 2016-12-18.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91890
  4. Phillips, Fr Andrew. "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome". www.orthodoxengland.org.uk. Iliwekwa mnamo 2016-12-18.
  5. Veitch, Donald (2015-04-06). "Reformed Anglicans: 6 April 861 A.D. Prudentius of Troyes—A Medieval Predestinarian; The Man Semi-Pelagobates Want You to Forget". Reformed Anglicans. Iliwekwa mnamo 2016-12-18.
  6. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Société académique d'agriculture, des sciences, arts et belles-lettres du département de l'Aube, Annuaire administratif et statistique du département de l'Aube, Dufour-Bouquot, 1868 (lire en ligne [archive]), « Sainte Maure de Troyes et son tombeau par Émile Socard », p. 38-43.
  • Marie Nicolas Des Guerrois, Saincteté chrestienne..., Jacquart, Troyes, 1637, fol822.
  • Remi Breyer, Les vies de S. Prudence, évêque de Troyes: et de Sainte Maure, vierge, Paris : chez François Babuty, 1725, pp.151-177 et Troyes : chez Jacques Le Febvre, 1725
  • Nicolas Camusat, Promptuarium sacrarum antiquitatum Tricassinae dioecesis, apud N. Moreau qui dicitur Le Coq (Augustae Trecarum), 1610 (lire en ligne [archive]), « Notae in vitam S. Maurae virginis », p. 48.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.