Mathias Meinrad Chikawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Chikawe

Mathias Meinrad Chikawe (amezaliwa 30 Mei 1951) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania, awamo ya 2005 hadi 2010. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chikawe ni Waziri wa Sheria. Mwaka wa 1982 alipata shahada ya tatu katika somo la sheria ya kimataifa huko Uholanzi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]