Nenda kwa yaliyomo

Marvel Studios

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Marvel studios)
Hii ni nembo ya Marvel Studios

Marvel Studios (ilijulikana kama Marvel films tangu mwaka 1993 hadi 1996) ni kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ambayo ni tawi la The Walt Disney Studios.

Marvel Studios inafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 bilioni (dola bilioni 22.5) huku katika hizo Avengers:Endgame imekusanya $2.8 bilioni(dola bilion 2.8) Duniani kote[1].

Marvel Studios wameweza kutoa filamu Ishirini na tatu tangu mwaka 2008 hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni Iron Man (2008) na filamu ya mwisho ni Spider-Man: Far From Home (2019). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine[2].

  1. DeMott, Rick (Novemba 13, 2009). "Marvel Studios Promotes Louis D'Esposito to Co-President". Animation World Network. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 4, 2013. Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Sciretta, Peter. "A Tour of the Marvel Studios Offices", /Film, April 18, 2017. 
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marvel Studios kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.