Margaret W. Campbell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Margaret W. Campbell (Januari 16, 1827 - Novemba 5, 1908) alikuwa mtetezi wa haki za wanawake wa nchini Marekani

Maisha ya binafsi[hariri | hariri chanzo]

Campbell alizaliwa huko Maine, Januari 16, 1827. Alisoma shule za wilayani huko. Mnamo 1857, akiishi Linn County wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani, alishiriki katika mashirika ya misaada ya wanajeshi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret W. Campbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.