Nenda kwa yaliyomo

Mangapwani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Manga Pwani)
Mangapwani
Mahali pa Manga Pwani upande wa kaskazini mwa Jiji la Zanzibar

Mangapwani ni kata ya Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, Tanzania.

Jina linamaanisha "Pwani la Waarabu"[1]

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 3,537 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 1,469 waishio humo. [3]

Manga Pwani imeteuliwa kama mahali pa bandari mpya inayotarajiwa kujengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Zanzibar na Omani. Bandari hiyo imepangwa kuwa bandari kuu badala ya bandari iliyopo sehemu za Malindi, mjini Zanzibar.

  1. linganisha Madan, Swahili-English dictionary, Oxford 1903. uk. 207 "Manga, n. a name of Arabia, esp. the region of Muscat in the Persian Gulf. It is used to describe various objects connected with or derived from Arabia, e. g. pilipili manga, black pepper. Mkoma manga, pomegranate tree. Njiwa manga, a variety of pigeon. Jiwe la manga, a kind of whetstone"
  2. https://www.nbs.go.tz, uk. 239
  3. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-28.
Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania

Donge Karange | Donge Mbiji | Donge Mtambile | Donge Pwani | Donge Vijibweni | Fujoni | Kidanzini | Kilombero | Kinduni | Kiombamvua | Kiongwe Kidogo | Kisongoni | Kitope | Kiwengwa | Kwagube | Mafufuni | Mahonda | Majenzi | Makoba | Mangapwani | Matetema | Mbaleni | Mgambo | Misufini | Mkadini | Mkataleni | Mnyimbi | Njia ya Mtoni | Pangeni | Upenja | Zingwezingwe


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mangapwani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.