Manda (kisiwa)
Mandhari
Manda ni kisiwa cha funguvisiwa la Lamu, kaunti ya Lamu, nchini Kenya.
Kinapatikana katika Bahari ya Hindi.
Safari yake ni nusu saa kwa jahazi tanga kutoka Lamu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manda (kisiwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |