Malala Yousafzai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Malala Yousafzai
Malala Yousafzai at Girl Summit 2014.jpg
Amezaliwa 12 Julai 1997 (1997-07-12) (umri 20)
Mingora, Pakistan
Nchi Pakistan
Kazi yake Mwanaharakati
Tuzo Nobel.png

Malala Yousafzai (amezaliwa 12 Julai 1997; jina lake kwa Kipashto: ملاله یوسفزۍ‎, kwa Kiurdu: ملالہ یوسف زئی‎) ni mwanaharakati wa shirika toka Pakistan.

Alitunukiwa tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 2014 pamoja na Kailash Satyarthi. Ni kijana kuliko yeyote yule aliyewahi kupewa tuzo ya Nobel.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malala Yousafzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.