Makadara (Mombasa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Makadara (Mombasa)
Nchi Kenya
Kaunti Mombasa

Makadara (Mombasa) ni mtaa wa Mombasa; pamoja na Mji wa Kale ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Mvita nchini Kenya[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]