Majadiliano ya mtumiaji:Somalisweetcrudeoil

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 10:48, 20 Machi 2019 (UTC)[jibu]

Habari zako, naona umejitahidi kuchangia. Kwa bahati mbaya ukiwa mgeni umesababisha uharibifu kwa kufuta sehemu za kurasa. Nakuambia ya kwamba unapaswa kuacha haya. Hadi sasa naamini ya kwamba hujafanya makosa haya kwa kusudi mbaya. Hata hivyo napaswa kulinda wikipedia yetu. Kwa hiyo nakupa kwa muda masharti yafuatayo:

  1. ukipenda kuondoa chochote kwenye ukurasa wowote, tangulia kuleta penbdekezo kwenye ukurasa wa majadiliano. Unaweza pia kuleta taarifa kwenye ukurasa wangu wa majadiliano. Baadaye usubiri jibu.
  2. ukiona haja ya kubadilisha makala lete kwanza tangazo kwenye ukurasa wa majadiliano
  3. usipofuata masharti haya nitakubana kwenye wikipedia hii (nitakuzuia ili huwezi kuhariri).
Maybe you do not understand Swahili. You messed up a number of articles, partly by removing content, partly by adding the paragraphs about "GDP" (which is not Kiswahili) and without any intelligible text.It is possible you did this without bad intention. Because of this I do not yet block you but give you the following advice and conditions for some weeks to come:
  1. before removing anything from an article - propose first your change on the article talk page and tell me at my talk page. Wait for an answer.
  2. if you want to change an entry - bring first your proposal to the article talk page
  3. if you do not follow these conditions I will block you.

Kipala (majadiliano) 23:01, 21 Machi 2019 (UTC)[jibu]


Dear friend you continued to edit without consulting. Probably you have not read this notice. You had one valid edit about London (thank you!) but you continued to enter the "GDP"- parts into other articles. GDP is not generally understood, we have a Swahili expression for it and it should not be there without any text as you do it. I block you for 3 days now. You can answer here so that I see you notice the problem. Kipala (majadiliano) 13:45, 22 Machi 2019 (UTC)[jibu]