Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Resnick-mike

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: mwaka 1 uliopita by $ilas duguda in topic Keep it cool

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:53, 25 Desemba 2024 (UTC)Reply

Jifunze kwanza Kuandika makala kwa usahihi na bila kutumia tafsiri ya kompyuta

[hariri chanzo]

Habari ndugu@Resnick-mike nafurahi kuona umejiunga nasi katika kuhariri makala za kiswahili, ila katika uandishi wako kuna changamoto kadhaa ikiwemo, Makala zako azina vyanzo vya kumfanya msomaji aelewe habari uliyoiandika, hazina muundo sahihi na nyingine unatumia tafsiri ya kompyuta kutafsiri kwa kiswahili kitu ambacho sio sahihi, ivyo naomba ujifunze kwanza kuhariri kupitia ukurasa wa mchanga na ukishajua vizuri ndio urudi kutafsiri tena. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano) 06:08, 26 Desemba 2024 (UTC)Reply

Explanations

[hariri chanzo]

I only correct technical errors after Maalum:Michango/Jossy27, nothing more. Resnick-mike (majadiliano) 07:38, 26 Desemba 2024 (UTC)Reply

Hello! Wondering if you could create your user page so would know who we are engaging with? Mostly for identity purpose only. MuddybLonga 17:07, 5 Januari 2025 (UTC)Reply
My nickname is after the author of "KIRINYAGA" novel series. Resnick-mike (majadiliano) 11:06, 19 Januari 2025 (UTC)Reply
It's my first time heard about it. A white man writing about African countries' folklore? That's huge! MuddybLonga 09:38, 26 Januari 2025 (UTC)Reply

Thank you for being a medical contributors!

[hariri chanzo]
The 2024 Cure Award
In 2024 you were one of the top medical editors in your language. Thank you from Wiki Project Med for helping bring free, complete, accurate, up-to-date health information to the public. We really appreciate you and the vital work you do!

Wiki Project Med Foundation is a thematic organization whose mission is to improve our health content. Consider joining for 2025, there are no associated costs.

Additionally one of our primary efforts revolves around translating health content. We invite you to try our new workflow if you have not already. Our dashboard automatically collects statistics of your efforts and we are working on tools to automatically improve formating.

Thanks again :-) -- Doc James along with the rest of the team at Wiki Project Med Foundation 06:23, 26 Januari 2025 (UTC)Reply

Keep it cool

[hariri chanzo]

Yo, bruh, howdy?

I'm trying to ease the atmosphere here. Would you please be so kind to chill for some time? The recent edit on your userpage wasn't necessary. They will consider it as a tantrum. I want to make sure all these allegations are settled through the local level. MuddybLonga 08:13, 30 Januari 2025 (UTC)Reply

He is even unable to login. What you expect? $ilas duguda (majadiliano) 13:01, 30 Januari 2025 (UTC)Reply