Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Enyavar

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:10, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

@Hussein m mmbaga: Hello, I don't exactly understand why you wrote me here?? --Enyavar (majadiliano) 18:12, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]

Hello, @Enyavar this is information about swahili wikipedia every new user of our swahili wikipedia must have this guide in his or her discussion page. sorry for the delay Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:30, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
Okay, well no thanks for making me a user of this Wiki, these two edits on my talk page were my first contributions and I don't plan on doing more in the next few years. All the best! --Enyavar (majadiliano) 18:33, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
I notice that you are doing a lot of work cajoling users with no edits into the swahili wiki, I don't think that this strategy will help it grow. --Enyavar (majadiliano) 18:34, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
okey! Asante sana Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:49, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
Asante sana, kwa heri! :-) --Enyavar (majadiliano) 18:54, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]
Haya,Karibu Tanzania Hussein m mmbaga (majadiliano) 19:01, 25 Septemba 2022 (UTC)[jibu]