Majadiliano ya mtumiaji:Bdcks

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mwanaharakati (Longa) 13:10, 7 Novemba 2008 (UTC)[jibu]

Salaaam! Ndugu, unajua Kiswahili?--Mwanaharakati (Longa) 13:12, 7 Novemba 2008 (UTC)[jibu]

Hello there! This is my second time I'm just asking you if you know to write, read, and speak Kiswahili? Cause I saw so many roughly article made by you! And the worst of all, you didn't make even your user page which can facilitate people to know your language or how many language do you speak. Kindly your needed to answer this question, because we wants to know each other. If you don't know to write Kiswahili then your still eager to write here, I'll try to help you for sometimes if you'll be honestly on that. Best regards,--Mwanaharakati (Longa) 06:02, 10 Novemba 2008 (UTC)[jibu]
What's up dude! Your now came with new style. Your contribute without to login! Don't do that, please!!!! Login and we will help you out. And don't forget to add this -->{{Stub}} in any article which you contribute here! Stay in touch--Mwanaharakati (Longa) 07:07, 29 Desemba 2008 (UTC)[jibu]

Hi there! When you upload an image don't forget to add:

  • ==Hatimiliki==
  • {{Non-free album cover}}

in each and every image of album cover - single cover! You have to show what image license is. Karibu sana.--Mwanaharakati (Longa) 08:38, 5 Januari 2009 (UTC)[jibu]