Majadiliano ya mtumiaji:Almasimagorwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Na ukitaka kupata uzoefu kwanza wa kuweza kuhariri wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Hapo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uumbaji wa makala za wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Hapo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko 2: kamwe lete matini kutoka tovuti nyingine wala picha kutoka tovuti za nje. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate etc.) nor copied texts/images from other webs to this site!

Kipala (majadiliano) 19:51, 29 Mei 2016 (UTC)

Michango mifupi[hariri chanzo]

Ndugu, asante kwa michango yako. Ila tu naomba usome tena yote. Hatuna faida kama makala ina maneno kadhaa pekee. Hata makala ya mbegu iwe angalau na sentensi 2,3 kamili!. Naogopa haiwezi kubaki jinsi ilivyo. Karibu kukamilisha yale uliyoleta kabla ya kuendelea. Soma misaada inayotajwa juu!. Makala inahitaji jamii, viungo, na interwiki, na sentensi kamili. Kipala (majadiliano) 23:22, 7 Desemba 2016 (UTC)

Shukran, nitajitahidi kuwekea michango maneno zaidi, na kufuata ushauri huo Almasimagorwa (majadiliano)

Share your experience and feedback as a Wikimedian in this global survey[hariri chanzo]

  1. This survey is primarily meant to get feedback on the Wikimedia Foundation's current work, not long-term strategy.
  2. Legal stuff: No purchase necessary. Must be the age of majority to participate. Sponsored by the Wikimedia Foundation located at 149 New Montgomery, San Francisco, CA, USA, 94105. Ends January 31, 2017. Void where prohibited. Click here for contest rules.Kura kuhusu wikisource[hariri chanzo]

Salaam kuna Pendekezo: Tuanzishe kitengo cha WikiSource NDANI ya wikipedia yetu unaombwa kuiangalia na kupiga kura!Kipala (majadiliano) 02:05, 29 Januari 2017 (UTC)

Your feedback matters: Final reminder to take the global Wikimedia survey[hariri chanzo]

(Sorry to write in English)