Maha Maamoun
Mandhari
Maha Maamoun (alizaliwa Oakland, Kalifornia, 1972) ni mshindi wa tuzo mbalimbali za sanaa anayeishi nchini Misri katika mji wa Kairo. Ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya The Contemporary Image Collective (CiC), shirika lisilo la kifaida lenye makazi yake katika mji wa Kairo lililoanzishwa mwaka 2004, pia ni mwanzilishi wa jukwaa la Kayfa-ta lililoanzishwa mwaka 2013. Mwaka 2009 litunukiwa tuzo ya Jury Prize kutokana na filamu yake ya Domestic Tourism II . Maamoun pia ni mwanachama wa The Academy of the Arts of the World.[1]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Maha Maamoun alizaliwa California mnamo mwka 1972 na kukua mjini Cairo.[2] Alisomea uchumi na kupata shahada ya uzamivu ndani ya Middle Eastern History.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "DEAR ANIMAL, Maha Maamoun". AKADEMIE DER KÜNSTE DER WELT. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-11. Iliwekwa mnamo 2019-12-11.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Maha Maamoun | transmediale". Transmediale - Art and Digital Culture. Iliwekwa mnamo 2019-12-11.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maha Maamoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |