Magofu ya Pujini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magofu ya Pujini (Magofu ya mji wa kale wa Pujini) ni magofu ya kihistoria ya Zama za Kati jirani na kijiji cha Pujini kilichopo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba.[1] eneo lilijulikana kama ngome Inaaminika kuwa jumba hilo lilijulikana kuwa la Mkame Mdume.[2] [3] Ni moja kati ya Maeneo kadhaa ya Kihistoria ya Kitaifa katika kisiwa cha Pemba yakiwemo Chambani na Ras Mkumbuu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Spear, Thomas (2000-01). "Swahili History and Society to 1900: A Classified Bibliography". History in Africa (kwa Kiingereza) 27: 339–373. ISSN 0361-5413. doi:10.2307/3172120.  Check date values in: |date= (help)
  2. LaViolette, Adria; Fleisher, Jeffrey (2009). "The Urban History of a Rural Place: Swahili Archaeology on Pemba Island, Tanzania, 700-1500 AD". The International Journal of African Historical Studies 42 (3): 433–455. ISSN 0361-7882. 
  3. Ingrams, William Harold (1800,01,01). "The chief's trumpet or sacred horn in East Africa" (kwa English).  Check date values in: |date= (help)