Madhara yasiyokusudiwa
Mandhari
Madhara yasiyokusudiwa (kwa Kiingereza: collateral damage) ni istilahi ya kutaja tukio baya lisilokusudiwa.
Istilahi hiyo hutumika hasa katika maadili na katika tiba kuhusu uharibifu unaotokea wakati mtu analenga jambo jema, kama uponyaji wa mgonjwa. Mara nyingi dawa zinamsaidia kweli lakini kwa kiasi fulani zinamdhuru pia.
Kijeshi inamaanisha uharibifu wa mali za raia au watu majeruhi ambao si wapiganaji, yaani, raia wa kawaida tu.[1] Mfano ni wakati wa matumizi ya silaha kama mzinga, bomu au kombora dhidi ya wanajeshi adui: katika nafasi hiyo watu au nyumba za kiraia wanaweza kupigwa ama kwa kosa au kutokana na ukali wa mlipuko.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Beyond Precision: Issues of Morality and Decision Making in Minimizing Collateral Casualties Ilihifadhiwa 5 Julai 2010 kwenye Wayback Machine., ACDIS Occasional Paper by Lt. Col. Dwight A. Roblyer
- USAF Intelligence Targeting Guide - Attachment 7 : Collateral Damage
- The Culture of Collateral Damage: A Genealogy by Glen Perice, The Journal of Poverty, Volume 10, No. 4, 2007
- Army Technology Ilihifadhiwa 25 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Air Force Law Review, Wntr, 2005 by Jefferson D. Reynolds
- The Faces of “Collateral Damage” by Charlie Clements, Friends Journal, April 2003 Ilihifadhiwa 17 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Collateral Damage during NATO bombing of SR Yugoslavia 1999 Ilihifadhiwa 24 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine. Warning: explicit images
- "Collateral Damage: A Military Euphemism for Murder" Ilihifadhiwa 27 Mei 2009 kwenye Wayback Machine. by Camillo "Mac" Bica, Znet, April 16, 2007
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |