Majadiliano:Madhara yasiyokusudiwa
Mandhari
Kuna jina linalofaa zaidi ya hili? Sina uhakika sana Collateral damage kwa tafsiri hii niliyoiweka. Tafadhali toeni mchango wenu!--MwanaharakatiLonga 12:11, 14 Machi 2013 (UTC)
- Naona ni zaidi madhara ya kando, madhara yasiyolengwa.Kipala (majadiliano) 15:30, 14 Machi 2013 (UTC)
- Shukrani Mzee Kipala kwa msaada wako. Nimefanya kadiri ipasavyo!--MwanaharakatiLonga 06:16, 15 Machi 2013 (UTC)