Nenda kwa yaliyomo

Macocha Tembele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Macocha Tembele
{{{maelezo_ya_picha}}}
{{{maelezo_ya_picha}}}
Ndugu Balozi na Mkurugrnzi mkuu
Bunge la
Jimbo la uchaguzi
Tarehe ya kuzaliwa 21 Machi 1974
Mahali pa kuzaliwa Dar es Salaam, Tanzania
Tarehe ya kifo
Chama Chama cha Mapinduzi
Tar. ya kuingia bunge
Alirudishwa mwaka
Aliondoka
Alingia ofisini
Aliondoka ofisini
Alitanguliwa na
Alifuatwa na
Dini
Elimu yake Chuo kikuu cha Dar es salaam
Digrii anazoshika
Kazi
Mengine
Tovuti yake


Macocha Tembele (amezaliwa katika jiji la Dar es Salaam, 21 Machi 1974) ni balozi na mkurugenzi wa umoja na ushirikiano wa Afrika Mashariki. [1][2]

Elimu na uzoefu

[hariri | hariri chanzo]

Macocha alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mnamo mwaka 1995, akisomea masuala ya uchumi na kupata stashahada (B.A). Mnamo mwaka 2011 alijiunga na chuo cha London metropolitan university ndani ya Ufalme wa Muungano na huko alihitimu na kupata shahada ya daraja la kwanza katika masuala ya uhusiano wa kimataifa, na mwaka 2013 alijiunga na chuo Tanzania/Msumbiji kituo cha mafunzo kwa ajiri ya mambo ya kigeni na kupata shahada ya utumishi wa masula ya kigeni na mwaka 2019 alisoma chuo cha Fideral institute of technoloy jijini Zürich nchini Uswisi. [3]

  1. https://www.foreign.go.tz/index.php/about/team
  2. "Tanzania: President Samia Appoints 23 Ambassadors, Including Former Beauty Queen". Afro News (kwa American English). 2021-05-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-09. Iliwekwa mnamo 2021-11-09.
  3. "Macocha Tembele – Page 10". MinBane (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-09.