Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for pavia. No results found for PAvdK.
- Pavia ni mji wa Italia katika mkoa wa Lombardia. Mji una wakazi wapatao 73,195 (2019). Mji upo m 77 kutoka juu ya usawa wa bahari. Orodha ya miji ya Italia...429 bytes (maneno 36) - 07:52, 22 Julai 2020
- Onorata wa Pavia (alifariki Pavia, Lombardia, Italia, 11 Januari 500) alikuwa dada wa askofu Epifanio wa Pavia aliyemweka wakfu kama mtawa wa Kanisa Katoliki...755 bytes (maneno 59) - 10:02, 23 Aprili 2020
- Siro wa Pavia (alifariki Pavia, Italia, karne ya 4) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo (Italia Kaskazini). Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi...2 KB (maneno 163) - 12:56, 25 Novemba 2024
- Pompei wa Pavia (alifariki Pavia, Italia, karne ya 4) alikuwa askofu wa pili wa mji huo (Italia Kaskazini) baada ya Siro wa Pavia. Tangu kale anaheshimiwa...679 bytes (maneno 63) - 09:50, 12 Desemba 2020
- Anastasi wa Pavia (alifariki Pavia, Lombardia, Italia 680 BK) anakumbukwa kama askofu wa 17 wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 668 hivi hadi...1 KB (maneno 102) - 12:53, 10 Agosti 2023
- Lanfranko wa Pavia (Gropello, 1134 hivi - 23 Juni 1198) anakumbukwa kama askofu wa mji huo (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 1181. Aliteseka sana kwa ajili...2 KB (maneno 204) - 13:23, 28 Septemba 2023
- Damiano wa Pavia (alifariki Pavia, Lombardia, Italia 710 hivi BK) anakumbukwa kama askofu wa 18 wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 680 hivi hadi...2 KB (maneno 165) - 13:07, 19 Desemba 2022
- Enodi wa Pavia (Arles, Ufaransa, 473/474 - Pavia, Italia, 521) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 513 hivi. Mwandishi mzuri wa Kilatini, vimetufikia...3 KB (maneno 355) - 15:01, 23 Februari 2024
- Yohane wa Pavia (alifariki 825 hivi) anakumbukwa kama askofu wa 27 wa mji huo (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 813. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu...795 bytes (maneno 57) - 14:08, 26 Agosti 2020
- Masimo wa Pavia (alifariki 511) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini. Alishiriki mitaguso iliyofanyika Roma chini ya Papa Simako. Tangu kale...902 bytes (maneno 78) - 10:25, 6 Aprili 2020
- Epifanio wa Pavia (438-496) alikuwa askofu wa mji huo (Italia) kuanzia mwaka 466 hadi kifo chake. Pamoja na kuongoza vizuri jimbo lake, alifanya kazi...2 KB (maneno 248) - 14:14, 12 Julai 2022
- kuanzia Novemba/Desemba 983 hadi kifo chake tarehe 20 Agosti 984. Alitokea Pavia, Lombardia, Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Petro. Alimfuata Papa...843 bytes (maneno 72) - 12:23, 20 Machi 2022
- Theodori wa Pavia (alifariki Brescia, Lombardia, Italia 778 BK) anakumbukwa kama askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 740 hivi hadi kifo...1 KB (maneno 104) - 17:32, 17 Januari 2021
- Jimbo Katoliki la Pavia (kwa Kilatini "Papiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote (isipokuwa 3) linafuata...987 bytes (maneno 90) - 18:09, 16 Septemba 2016
- Armentari (alifariki Pavia, Lombardia, Italia, 731) alikuwa askofu wa 19 wa mji huo wa Italia Kaskazini kwa zaidi ya miaka 10. Ndiye aliyepokea na kuhifadhi...853 bytes (maneno 76) - 10:04, 23 Julai 2022
- Krispino wa Pavia (alifariki 466) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kwa walau miaka ishirini . Alishiriki mtaguso wa Milano wa mwaka 451 dhidi...2 KB (maneno 209) - 14:04, 22 Aprili 2020
- watakatifu Wafiadini wa Nikomedia, Edeltruda, Bili wa Vannes, Lanfranko wa Pavia, Valero wa Onhaye, Thomas Garnet, Yosefu Cafasso n.k. Wikimedia Commons...1 KB (maneno 133) - 14:55, 16 Septemba 2023
- upadrisho tarehe 30 Oktoba 1988. Tarehe 16 Novemba 2015 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Pavia. Ukurasa wa Askofu Sanguineti katika Catholic Hierarchy...626 bytes (maneno 36) - 19:46, 6 Januari 2016
- ya Nobel ya Tiba. Golgi alikuwa mhadhiri wa histolojia wa Chuo Kikuu cha Pavia, ambapo alitumia sehemu kubwa ya kazi yake. Jina lake linaendelea kuheshimiwa...1,003 bytes (maneno 61) - 08:24, 3 Desemba 2023
- wa Athene, Frutuosi, Auguri na Euloji, Patroklo wa Troyes, Epifanio wa Pavia, Meinradi, Zakaria wa mlima Mercurio, Albano Roe, Yohane Yi Yun-il n.k....2 KB (maneno 163) - 07:27, 17 Septemba 2023