Nenda kwa yaliyomo

Matokeo ya utafutaji

Showing results for kitenzi. No results found for Kitonyi.
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Kitenzi ni istilahi ya sarufi kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika. Lugha nyingi zinatumia vitenzi...
    3 KB (maneno 317) - 09:19, 28 Oktoba 2023
  • Kitenzi kikuu kisaidizi (alama yake ya kiisimu ni: TS) ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kukamilisha taarifa. Kitenzi...
    2 KB (maneno 214) - 11:24, 12 Julai 2023
  • Kitenzi sielekezi ni kitenzi ambacho hakipokei yambwa katika tungo. Mfano: Mtoto amelala. Neno amelala ni kitenzi sielekezi kwa kuwa neno hili likisemwa...
    282 bytes (maneno 31) - 12:25, 26 Oktoba 2018
  • Kitenzi kikuu (alama yake ya kiisimu ni: T) ni kitenzi ambacho hutoa wazo kwa tendo ambalo linatendwa na nomino au kiwakilishi cha nomino. Mara nyingi...
    1 KB (maneno 111) - 08:02, 12 Machi 2017
  • Kitenzi kishirikishi (alama yake ya kiisimu ni: t) ni kitenzi ambacho hujulisha hali ya kuwepo au kutokuwepo kwa uhusiano/ushirikiano baina ya vipashio...
    1 KB (maneno 129) - 15:47, 18 Agosti 2023
  • Kitenzi elekezi ni kitenzi ambacho huchukua nomino ya mtendwa (yambwa). Yambwa ni jina au nomino ambayo huwakilisha mtendwa katika tungo. Mfano: Mtoto...
    1 KB (maneno 144) - 13:38, 2 Machi 2022
  • kiisimu ni: E, ing. adverb) ni neno au maneno yanayotoa taarifa ihusuyo kitenzi. Maneno hayo (vielezi) huelezea/hufafanua na kupambanua au kuongeza maana...
    3 KB (maneno 264) - 19:42, 23 Agosti 2018
  • ufafanuzi ambao unaenelezea namna au jinsi kitenzi (tendo) kinavyofanyika. Maneno haya hujulisha kuwa kitenzi hicho kinatumika namna gani au jinsi gani...
    3 KB (maneno 282) - 13:32, 5 Oktoba 2020
  • Thumbnail for Tungo
    Tungo ni neno au nomino inayotokana na kitenzi "tunga". Kutunga ni kuweka/kushikamanisha vitu pamoja kwa kutumia kitu kama kamba au uzi kwa kupitishia...
    3 KB (maneno 407) - 07:25, 24 Oktoba 2021
  • kiasi (alama yake ya kiisimu ni: E) ni maneno yanayofafanua kielezi kuwa kitenzi hicho kitemetendeka mara ngapi au kwa kiasi gani. Idadi hiyo inaweza kuwa...
    1 KB (maneno 116) - 15:19, 16 Aprili 2014
  • Tungo kishazi ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile. Kile kinachojitosheleza...
    1 KB (maneno 146) - 08:26, 3 Februari 2024
  • Ulinzi (pia: ulindaji; kutoka kitenzi kulinda) ni kazi au namna ya kuangalia usalama wa watu, mifugo, majengo na vitu vingine....
    216 bytes (maneno 20) - 14:52, 13 Machi 2022
  • na kitenzi kinachojitosheleza kimaana. Yaani, ni tungo inayotawaliwa na kitenzi kinachotoa taarifa kamili. Kitenzi hicho kinaweza kuwa: (A) Kitenzi kikuu...
    2 KB (maneno 185) - 03:06, 7 Septemba 2023
  • kujulisha mahali ambapo kitenzi hicho kinatendeka/kimetendeka. Mifano Mtoto amelala chumbani (mtoto = nomino ya kawaida, amelala = kitenzi kikuu, chumbani =...
    1 KB (maneno 85) - 14:52, 4 Novemba 2023
  • (kifaa) – kifaa kinachotumika kuhifadhia kumbukumbu kwa njia ya sauti. Kanda(kitenzi) – tendo la kuminyaminya kwa kitambaa kilichochovya kwenye maji ya moto...
    419 bytes (maneno 50) - 07:35, 19 Desemba 2022
  • krasteshia anayeishi baharini na ana jozi tano za miguu. Kaa (Kitenzi) ni moja ya kitenzi kinachoashiria namna ya kupumzika kwenye kiti badala ya kulala...
    391 bytes (maneno 53) - 11:53, 13 Desemba 2009
  • Thumbnail for Mtunzi
    Mtunzi (kutoka kitenzi "kutunga"; kwa Kiingereza: composer, kutoka Kilatini compōnō, yaani "naweka pamoja") ni hasa mwanamuziki ambaye amebuni wimbo au...
    644 bytes (maneno 56) - 09:05, 8 Desemba 2022
  • Kiungo (kutoka kitenzi kuunga) ni neno linaloweza kumaanisha: kiungo (mwili) kiungo (chakula) kiungo (michezo) kiungo (tarakilishi)...
    183 bytes (maneno 16) - 13:59, 6 Septemba 2022
  • Thumbnail for Mchoro
    Mchoro ni neno la Kiswahili ambalo linatokana na kitenzi kuchora. Kwa lugha ya Kiingereza neno mchoro hujulikana kama picture, ambalo Waswahili wameligeuza...
    574 bytes (maneno 58) - 08:42, 15 Julai 2020
  • Uvamizi (pia: uvamiaji, kutoka kitenzi "kuvamia"; Kiing. invasion) ni tendo la kuingia mahali kwa nguvu na mara nyingi kwa kushtukiza hasa kwa lengo la...
    337 bytes (maneno 44) - 16:54, 13 Machi 2022
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)