Kitenzi sielekezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitenzi sielekezi ni kitenzi ambacho hakipokei yambwa katika tungo.

Mfano: Mtoto amelala. Neno amelala ni kitenzi sielekezi kwa kuwa neno hili likisemwa hakuna haja ya kumjua mtendwa hapo sentensi itakuwa imekamilika.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitenzi sielekezi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.