Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for ivan. No results found for Ivla.
- Ivan Petrovich Pavlov (26 Septemba 1849 – 27 Februari 1936) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mwenendo wa wanyama. Mwaka wa...539 bytes (maneno 31) - 18:48, 28 Julai 2020
- Ivan Alekseyevich Bunin (22 Oktoba 1870 – 8 Novemba 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Mwaka wa 1920 alihamia Ufaransa. Hasa aliandika riwaya...528 bytes (maneno 36) - 18:29, 8 Machi 2013
- Ivan Ivanovich Shishkin (Kirusi: Иван Иванович Шишкин; 25 Machi 1832 - 20 Januari 1898) alikuwa mchoraji wa picha za mandhari kutoka Urusi. Yeye alizaliwa...818 bytes (maneno 63) - 14:18, 11 Machi 2013
- Ivan Toms (alizaliwa Julai 11 mwaka 1952 - 25 Machi 2008) alikuwa daktari wa Afrika Kusini, ambaye alipambana na serikali ya enzi ya ubaguzi wa rangi kama...2 KB (maneno 157) - 14:07, 31 Mei 2022
- Ivan Gennadievich Iakovlev (amezaliwa Aprili 17, 1995) ni mchezaji wa mpira wa wavu wa Urusi. Ni miongoni mwa wachezaji wa mpira wa wavu timu ya taifa...647 bytes (maneno 47) - 09:05, 11 Septemba 2022
- Ivan Botha ni muigizaji wa Afrika Kusini, anajulikana katika uhusika wake kama Pieter van Heerden mwenye muonekano wa kiafrika. Alionekana kwa mara ya...2 KB (maneno 91) - 09:21, 22 Julai 2023
- Ivan Rakitic (alizaliwa 1988) ni mchezaji mtaalamu sana ambaye anacheza kama kiungo wa kati au mshambuliaji wa klabu iliyopo Hispania Barcelona FC na timu...1 KB (maneno 122) - 07:15, 8 Julai 2019
- Ivan Beltrami (alizaliwa 27 Juni 1969) ni mchezaji wa zamani wa baiskeli wa Italia. Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya mwaka 1988...441 bytes (maneno 47) - 09:06, 17 Oktoba 2024
- Ivan Cerioli (alizaliwa 26 Januari 1971) ni mwanabaiskeli wa zamani wa Italia. Aliwakilisha timu ya mbio za kufuatilia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira...448 bytes (maneno 47) - 07:10, 28 Oktoba 2024
- Ivan Hrvatska ni mwimbaji kutoka Croatia anayeishi Kanada; anajulikana kwa nyimbo zake zinazohusu "kutengeneza mapenzi" kwa sikukuu za kitaifa za Kanada...520 bytes (maneno 54) - 10:40, 9 Desemba 2024
- Ivan Radeljić (alizaliwa 14 Septemba 1980) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Bosnia na Herzegovina. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Bosnia na...904 bytes (maneno 55) - 11:03, 16 Machi 2020
- Ivan Zaytsev (amezaliwa 2 Oktoba 1988) ni mchezaji wa mpira wa wavu wa Italia mwenye asili ya Urusi. Ivan Zaytsev ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira...1 KB (maneno 140) - 17:25, 16 Julai 2024
- Ivan Hašek (alizaliwa 6 Septemba 1963) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ucheki. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Chekoslovakia na timu ya taifa...1 KB (maneno 58) - 09:13, 17 Machi 2020
- Ivan Jacob (15 Julai 1925 – 5 Februari 2009) alikuwa mwanariadha wa India ambaye alishiriki katika mbio za mita 400 za wanaume katika Michezo ya Olimpiki...801 bytes (maneno 80) - 03:25, 28 Novemba 2024
- Ivan Cornelius Dias (14 Aprili 1936 – 19 Juni 2017) alikuwa kardinali kutoka India katika Kanisa Katoliki. Alitumikia kama Mkuu wa Idara ya Uinjilishaji...996 bytes (maneno 86) - 06:50, 11 Oktoba 2024
- Ivan Bukenya (alizaliwa 1 Novemba 1991) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Uganda. Bukenya amewahi kuzichezea FC Linkoping City, Erbil FC nchini Iraq, Kaizer...430 bytes (maneno 33) - 17:25, 11 Septemba 2022
- Ivan Mitford-Barberton (1896-1976) alikuwa mchongaji, mwandishi na mtangazaji. Mitford-Barberton alizaliwa huko Somerset Mashariki, Afrika Kusini, mwaka...2 KB (maneno 205) - 08:47, 25 Oktoba 2023
- Ivan Gašparovič (amezaliwa tar. 27 Machi 1941) ni mwanasiasa na profesa wa sheria kutoka nchini Slovakia. Kuanzia mwaka wa 2004 hadi 2014 alikuwa Rais...753 bytes (maneno 57) - 09:24, 16 Januari 2021
- Ivan Neville (alizaliwa New Orleans, Louisiana, 19 Agosti 1959) ni mchezaji wa vyombo vingi vya muziki, Mwanamuziki, Mwimbaji na Mtunzi wa Nyimbo. Yeye...4 KB (maneno 367) - 12:29, 7 Machi 2023
- Ivan Darío González González (alizaliwa 14 Agosti 1987) ni mwanariadha wa mbio za kati na masafa marefu wa Kolombia. Alishinda medali ya dhahabu katika...1 KB (maneno 91) - 22:15, 26 Desemba 2021