Nenda kwa yaliyomo

Ivan Shishkin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ivan Shishkin

Ivan Ivanovich Shishkin (Kirusi: Иван Иванович Шишкин; 25 Machi 1832 - 20 Januari 1898) alikuwa mchoraji wa picha za mandhari kutoka Urusi. Yeye alizaliwa katika Yelabuga na alisoma katika Chuo cha Sanaa, Bombwe na Ujenzi mjini Moscow. Pia alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Sankt Peterburg.

Mifano ya picha zake[hariri | hariri chanzo]


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivan Shishkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.