Nenda kwa yaliyomo

Ivan Botha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ivan Botha
Amezaliwa Ivan Botha
Desemba 13 1985
Afrika ya kusini
Kazi yake Muigizaji

Ivan Botha ni muigizaji wa Afrika Kusini, anajulikana katika uhusika wake kama Pieter van Heerden mwenye muonekano wa kiafrika.

Alionekana kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya kutisha ya The Raven,[onesha uthibitisho]ikiongozwa na David DeCoteau.Pia Ivan Botha aliendelea kuonekana kwenye mfululizo wa filamu ya Bakgat[1] na kwenye maonyesho mbalimbali kwenye televisheni ya Getroud met rugby.

Filamu zake

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Uhusika
7de Laan Pieter van Heerden
Getroud met Rugby Himself
Mwaka Jina Uhusika
2007 The Raven Greg
2008 Bakgat! Wimpie Koekemoer
2009 Hond se Dinges Dolf de Lange
2009 Bakgat! 2 Wimpie Koekemoer
2011 Superhelde Albert
2011 Roepman Salmon
2013 Verraaiers Adaan de la Rey
2013 Bakgat! tot die mag 3 Wimpie Koekemoer
2014 Pad na Jou Hart Basson Jr.

2016 (Vir Altyd) Hugo

  1. "Bakgat 3". www.numetro.co.za. Nu Metro Cinemas. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viunga vya ndani

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivan Botha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.