Ivan Iakovlev
Mandhari
Ivan Gennadievich Iakovlev (amezaliwa Aprili 17, 1995) [1] ni mchezaji wa mpira wa wavu wa Urusi. Ni miongoni mwa wachezaji wa mpira wa wavu timu ya taifa kwa wanaume. Kwa ngazi ya klabu anachezea klabu ya Zenit Saint Petersburg.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ivan IAKOVLEV". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.