Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for chombo. No results found for Chowbok.
- Chombo cha angani ni chombo kwa ajili ya kusafiri katika anga-nje ya dunia yetu. Vyombo vya anga vinaundwa kwa kazi nyingi pamoja na mawasiliano, kubeba...2 KB (maneno 303) - 17:15, 19 Novemba 2023
- Kata ni chombo maalumu kitumiwacho na makabila mengi nchini Tanzania, hasa na Wachagga huko Mkoa wa Kilimanjaro. Kata hutumika kunywea pombe iitwayo mbege...751 bytes (maneno 77) - 17:03, 7 Januari 2025
- Chombo cha majini au chombo cha usafiri kwenye maji ni kitu kinachotumiwa kusafiria kwenye maji kama vile baharini, mtoni au ziwani. Vyombo hivyo vinapatikana...2 KB (maneno 183) - 11:44, 14 Oktoba 2019
- Chombo cha kukamulia cha Warangi ni chombo kama kinu kidogo. Kwa Kirangi huitwa "kɨremo". Chombo hicho hutengenezwa kwa mti laini. Hutumika kwa kukamulia...716 bytes (maneno 71) - 10:44, 31 Julai 2019
- wa chombo chote. Wikimedia Commons ina media kuhusu: Tanga (chombo) Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: tanga (chombo) Sailboats...1 KB (maneno 115) - 16:56, 17 Januari 2021
- Chombo cha kuwekea tumbaku cha Warangi ni kwa ajili ya tumbaku iliyosagwa. Kwa Kirangi huitwa "súse". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa kutokana na pembe...712 bytes (maneno 68) - 09:14, 13 Januari 2024
- Mto Chombo unapatikana katika kaunti ya Kwale, kusini mashariki mwa Kenya (kwenye bahari ya Hindi). Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Kwale Geonames...401 bytes (maneno 27) - 07:50, 12 Agosti 2018
- Ramadhan Chombo (alizaliwa Desemba 9, 1987) ni mchezaji wa soka nchini Tanzania, ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Biashara United F...2 KB (maneno 96) - 17:46, 10 Machi 2023
- Chombo cha usafiri ni kifaa chochote kinachotumiwa kusafirisha watu au mizigo. Vyombo vya usafiri hutofautiana kama vinahudumia usafiri wa nchi kavu, wa...2 KB (maneno 219) - 15:01, 20 Julai 2020
- Rosetta (kipimaanga) (elekezo toka kwa Rosetta (chombo cha angani))67P/Churyumov–Gerasimenko. Ilhali hakuna roketi bao yenye nguvu ya kufikisha chombo moja kwa moja hadi nyotamkia, Rosetta ilitumia njia ya kuzunguka mara kadhaa...3 KB (maneno 289) - 16:34, 19 Novemba 2023
- Orion ni chombo cha angani kinachotengenezwa na kampuni ya Lockheed Martin kwa ajili na NASA na ESA. Inakusudiwa kubeba hadi wanaanga sita mpaka Mwezi...2 KB (maneno 208) - 17:14, 19 Novemba 2023
- neno hili, tazama Sibori (altare). Sibori (kutoka Kilatini ciborium) ni chombo cha thamani kinachotumika katika Ukristo kwa ajili ya ibada ya ekaristi...768 bytes (maneno 74) - 07:15, 18 Februari 2024
- Jahazi (Kiarabu جهاز chombo) ni mashua yenye tanga ambayo hutumika kubeba watu na shehena (mizigo). Leo hutumika katika kazi za uvuvi kwa wavuvi wadogowadogo...814 bytes (maneno 69) - 20:13, 15 Desemba 2021
- wanyama ambao kwa kawaida wanaweza kuruka. Ndege (uanahewa) (au eropleni) ni chombo cha usafiri kinachoweza kuruka wakati kikiwa na abiria au mizigo ndani yake...321 bytes (maneno 37) - 14:05, 28 Agosti 2017
- lugha ya Kiingereza "thing") ni neno linaloelezea dutu, jambo, kifaa au chombo cha aina yoyote. Linatumika hasa kuhusu chochote kinachoundwa na mata. Mfano...437 bytes (maneno 36) - 09:41, 19 Julai 2020
- kwa Kiingerezaː pilot) ni mtu anayeendesha eropleni au chombo kingine cha usafiri hasa chombo cha usafiri kitumiacho njia ya anga. Neno hili hutumiwa...744 bytes (maneno 67) - 21:13, 12 Machi 2019
- Kihori cha Warangi ni aina ya chombo kinachotengenezwa kwa mti. Kwa Kirangi huitwa "mʉlaambo". Chombo hicho hutumika kuwekea maji, kulowekea mtama na...648 bytes (maneno 54) - 09:13, 13 Januari 2024
- Upawa wa Warangi ni aina ya chombo cha kuchotea hasa pombe. Kwa Kirangi huitwa "ndʉvo". Chombo hicho kilitokana na aina fulani ya maboga au mamumunya....621 bytes (maneno 61) - 08:56, 13 Januari 2024
- wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake....743 bytes (maneno 83) - 09:10, 20 Desemba 2020
- inaweza kuwa na maana nyembamba zaidi, hasa ya picha zilizopigwa kwa kamera au chombo kingine cha kielektroniki. Kumbe mchoro unadai mtu achore mwenyewe....574 bytes (maneno 58) - 08:42, 15 Julai 2020