Sibori (chombo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa maana nyingine ya neno hili, tazama Sibori (altare).

Sibori mojawapo.

Sibori (kutoka Kilatini ciborium) ni chombo cha thamani kinachotumika katika Ukristo kwa ajili ya ibada ya ekaristi, hasa kuwekea hostie za kukomunisha waumini.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sibori (chombo) kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.