Wamaroni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Wikidata
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:AleppoMaroniteCathedral.jpg|thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep]] ([[Syria]]).]]
[[Picha:Saint Elijah Maronite Cathedral, Aleppo (2).jpg|thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep]] ([[Syria]]).]]
'''Wamaroni''' ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa [[Lebanoni]].
'''Wamaroni''' ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa [[Lebanoni]].



Pitio la 14:01, 30 Aprili 2017

Kanisa kuu la Kimaroni la Alep (Syria).

Wamaroni ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa Lebanoni.

Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na historia yao, ni imani ya Kikristo katika Kanisa la Wamaroni, ambalo lina ushirika kamili na Papa wa Roma na Kanisa Katoliki lote duniani.