Majengo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Majengo''' ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya [[Afrika ya Mashariki]].
'''Majengo''' ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya [[Afrika ya Mashariki]].


Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni.
Mifano ni wilaya zifuatazo
Waingereza walifuata mpangilio katika miji iliyoundwa nao katika Afrika ya Mashariki kuwa na sehemu tatu<ref>Kuhusu mpangilio wa miji katika Afrika ya Mashariki wakati wa ukoloni tazama [https://books.google.com/books?id=riLICQAAQBAJ&pg=PA108&lpg=PA108&dq=colonial+town+planning+africa&source=bl&ots=MsKubd4wnn&sig=yOuoLOkIu5NTtd8VGOuE8lMdUic&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwib9ZuG4PTMAhVlP5oKHYisDKsQ6AEIXzAM#v=onepage&q=colonial%20town%20planning%20africa&f=false Robert Home, Colonial Urban Planning in Anglophone Africa, uk. 60], ktk Carlos Nunes Silva (Ed.) (2015). Urban Planning in Sub-Saharan Africa: Colonial and Postcolonial Planning Cultures. New York, ISBN: 9780415632294</ref>:
*Uzunguni kama sehemu ya nyumba za Wazungu na kando lake ofisi za serikali (District Officer, polisi, mahakama)
*Uhindini kama mtaa wa biashara iliyokuwa hasa mkononi mwa wafanyabiashara wenye asili ya [[Uhindi ya Kiingereza]], katika miji mikubwa zaidi pia maduka ya wazungu na
*Majengo kama sehemu kwa wafanyakazi Waafrika na familia zao.
*Katika miji mikubwa zaidi kulikuwa pia na sehemu ya pekee kwa wafanyakazi Wahindi wa matabaka ya chini

Mifano ya "majengo" ni wilaya zifuatazo
*[[Majengo (Dodoma)|Dodoma]]
*[[Majengo (Dodoma)|Dodoma]]
*[[Majengo (Kahama)|Kahama]]
*[[Majengo (Kahama)|Kahama]]
Mstari 19: Mstari 26:
ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata.
ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata.



Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni ambako sehemu ya "[[Uzunguni]]" ilitengwa kwa Waingereza na Wazungu wengine na Wahindi walipewa nafasi ya maduka katika sehemu zilizoitwa mara nyingi "[[Uhindini]]".


{{maana}}
{{maana}}

Pitio la 08:18, 25 Mei 2016

Majengo ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya Afrika ya Mashariki.

Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni. Waingereza walifuata mpangilio katika miji iliyoundwa nao katika Afrika ya Mashariki kuwa na sehemu tatu[1]:

  • Uzunguni kama sehemu ya nyumba za Wazungu na kando lake ofisi za serikali (District Officer, polisi, mahakama)
  • Uhindini kama mtaa wa biashara iliyokuwa hasa mkononi mwa wafanyabiashara wenye asili ya Uhindi ya Kiingereza, katika miji mikubwa zaidi pia maduka ya wazungu na
  • Majengo kama sehemu kwa wafanyakazi Waafrika na familia zao.
  • Katika miji mikubwa zaidi kulikuwa pia na sehemu ya pekee kwa wafanyakazi Wahindi wa matabaka ya chini

Mifano ya "majengo" ni wilaya zifuatazo

ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata.


Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.

  1. Kuhusu mpangilio wa miji katika Afrika ya Mashariki wakati wa ukoloni tazama Robert Home, Colonial Urban Planning in Anglophone Africa, uk. 60, ktk Carlos Nunes Silva (Ed.) (2015). Urban Planning in Sub-Saharan Africa: Colonial and Postcolonial Planning Cultures. New York, ISBN: 9780415632294