Namba halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|120px|Alama ya kundi la '''namba halisi''' (ℝ) Katika hisabati, '''namba halisi''' ni thamani inayowakilisha...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Latex real numbers.svg|right|thumb|120px|Alama ya kundi la '''namba halisi''' (ℝ)]]
[[File:Latex real numbers.svg|right|thumb|120px|[[Alama]] ya kundi la '''namba halisi''' ni (ℝ)]]
[[File:Real number line.svg|thumb|center|350px|Namba halisi zinaweza Real numbers kuwa kama pointi katika [[mstari wa tarakimu]]]]
'''Namba halisi''' katika [[hisabati]] ni [[thamani]] inayowakilisha [[kiasi]] katika [[mstari wa kuendelea]]. [[Kivumishi]] ''halisi'' kwa [[mantiki]] hii kilianzishwa kwenye [[karne ya 17]] na [[Mfaransa]] [[Descartes]], ambaye alitofautisha namba halisi na [[Namba|namba changamano]].


Namba halisi zinajumuisha [[Namba|namba wiano]], kama vile [[Namba|namba kamili]] −5 na [[sehemu (hisabati)|sehemu]] 4/3, na [[Namba|namba zisizowiani]], [[kipeo]] cha pili cha 2, na [[algebra]]). Ikijumuisha na zisizowiani ni [[namba zisizo na mwisho]], kama [[pai]] (3.14159265…).
Katika [[hisabati]], '''namba halisi''' ni thamani inayowakilisha kiasi katika mstari wa kuendelea. Kivumishi ''halisi'' kwa mantiki hii kilianzishwa kwenye karne ya 17 na mfaransa [[Descartes]], ambaye alitofautisha namba halisi na [[Namba|namba changamano]] .


Namba halisi zinajumuisha [[Namba|namba wiano]], kama vile [[Namba|namba kamili]] −5 na [[sehemu (hisabati)|sehemu]] 4/3, na [[Namba|namba zisizowiani]], kipeo cha pili cha 2, na [[algebra]]). Ikijumuisha na zisizowiani ni [[namba zisizo na mwisho]], kama [[pai]] (3.14159265…). Namba halisi zinaweza kuwa kama pointi katika [[mstari mnyoofu]] unaoitwa [[mstari wa tarakimu]] au [[mstari halisi]], ambapo pointi za namba halisi ambzo zimeachiana nafasi sawa.
Namba halisi zinaweza kuwa kama pointi katika [[mstari mnyoofu]] unaoitwa [[mstari wa tarakimu]] au [[mstari halisi]], ambapo pointi za namba halisi ambazo zimeachiana nafasi sawa.


{{mbegu}}
[[File:Real number line.svg|thumb|center|350px|Namba halisi zinaweza Real numbers kuwa kama pointi katika [[mstari wa tarakimu]]]]

[[Jamii:Namba]]
[[Jamii:Hisabati]]

Pitio la 13:49, 14 Mei 2016

Alama ya kundi la namba halisi ni (ℝ)
Namba halisi zinaweza Real numbers kuwa kama pointi katika mstari wa tarakimu

Namba halisi katika hisabati ni thamani inayowakilisha kiasi katika mstari wa kuendelea. Kivumishi halisi kwa mantiki hii kilianzishwa kwenye karne ya 17 na Mfaransa Descartes, ambaye alitofautisha namba halisi na namba changamano.

Namba halisi zinajumuisha namba wiano, kama vile namba kamili −5 na sehemu 4/3, na namba zisizowiani, kipeo cha pili cha 2, na algebra). Ikijumuisha na zisizowiani ni namba zisizo na mwisho, kama pai (3.14159265…).

Namba halisi zinaweza kuwa kama pointi katika mstari mnyoofu unaoitwa mstari wa tarakimu au mstari halisi, ambapo pointi za namba halisi ambazo zimeachiana nafasi sawa.