Kiongozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
K
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kiongozi''' ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu. Mara nyingi kiongozi hupewa [[heshima]] ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika [[familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
==Kiongozi==

Kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na kikundi cha watu.[katika biblia kiongozi ni mtu ambaye huchagulawa na '''MUNGU''' kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa '''Duniani'''] ambapo katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupigiwa kura ambapo watu mbalimbali wanaohitaji [[uongozi]] hupigiwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana. Mara chache sana kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigiwa kura na pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa '''kurithi''' ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi alie fariki na kuachia madaraka ya uongozi. mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika [[jamii]], kikundi cha watu au katika[[ familia]] ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
==kiongozi katika familia==
==Kiongozi katika jamii==
Katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupiga [[kura]] ambapo watu mbalimbali wanaogombea [[uongozi]] hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana.
kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu '''alienaumli''' mkubwa katika familia husikamkubwa kulingana na watu katika familia husika ambapo kiongozi huwa ni [[baba]] na [[mama]] katika familia ambapo baba ndio huwa kiongozi mkubwa katika familia ambae ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama hususani katika famila. pia katika familia huwa na kiongozi wa ukoo ambapo [[bibi]] na [[babu]] huwa [[viongozi]] wa juuu katika ukoo.

Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.

Pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa kurithi, ambapo [[mrithi]] huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi aliyefariki na kuachia [[madaraka]].

==Kiongozi katika familia==
Kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu aliye na [[umri]] mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni [[baba]] na [[mama]]. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.

Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa [[ukoo]] ambapo [[bibi]] na [[babu]] huwa [[viongozi]] wa juu katika ukoo.

==Kiongozi katika Biblia==
Katika [[Biblia]] kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na [[Mungu]] kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa [[duniani]].

[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Dini]]

Pitio la 06:53, 20 Oktoba 2015

Kiongozi ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu. Mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katika familia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.

Kiongozi katika jamii

Katika nchi nyingi duniani kiongozi hupatikana kwa wananchi kupiga kura ambapo watu mbalimbali wanaogombea uongozi hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika jamii au kikundi cha watu hupatikana.

Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.

Pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa kurithi, ambapo mrithi huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi aliyefariki na kuachia madaraka.

Kiongozi katika familia

Kiongozi katika familia huwa ni mtu aliye na umri mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni baba na mama. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.

Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa ukoo ambapo bibi na babu huwa viongozi wa juu katika ukoo.

Kiongozi katika Biblia

Katika Biblia kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na Mungu kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa duniani.