Nabii Obadia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|[[Mungu akimtokea Obadia.]] '''Nabii Obadia''' (jina la Kiebrania lenye maana ya "Mtumishi wa YHWH) alikuwa nabi...'
 
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q479645 (translate me)
Mstari 11: Mstari 11:
[[Category:Manabii wa Agano la Kale]]
[[Category:Manabii wa Agano la Kale]]
[[Category:Watakatifu wa Israeli]]
[[Category:Watakatifu wa Israeli]]

[[it:Abdia (profeta)]]

Pitio la 21:23, 2 Aprili 2013

Mungu akimtokea Obadia.

Nabii Obadia (jina la Kiebrania lenye maana ya "Mtumishi wa YHWH) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale baada ya Yerusalemu kutekwa na kuteketezwa na Wababuloni (586 KK hivi).

Alitoa utabiri wa mistari 21 tu dhidi ya Edomu ambayo inaunda kitabu cha nne kati ya 12 vya Manabii Wadogo.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 19 Novemba.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nabii Obadia kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.