Rasi ya Sinai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: kk:Синай түбегі
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Sinai Peninsula from Southeastern Mediterranean panorama STS040-152-180.jpg|thumb|right|Rasi ya Sinai, [[Ghuba ya Suez]] (magh.), [[Ghuba ya Aqaba]] (mash.) inavyoonekana kutoka angani]]
[[Picha:Sinai Peninsula from Southeastern Mediterranean panorama STS040-152-180.jpg|thumb|right|Rasi ya Sinai, [[Ghuba ya Suez]] (magh.), [[Ghuba ya Aqaba]] (mash.) inavyoonekana kutoka angani]]


'''Rasi ya Sinai''' ([[Kiar.]]: sina' سيناء) ni [[rasi]] yenye umbo la pembetatu nchini [[Misri]] upande wa kaskazini ya [[Bahari ya Shamu]] inayounganisha bara za [[Afrika]] na [[Asia]]. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi.
'''Rasi ya Sinai''' ([[Kiar.]]: sina' سيناء) ni [[rasi]] yenye umbo la pembetatu nchini [[Misri]] upande wa kaskazini ya [[Bahari ya Shamu]] inayounganisha bara za [[Africa]] na [[Asia]]. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi.


Eneo la Sinai ni takriban 60,000 km² hasa [[jangwa]]. Imepakana na [[Ghuba ya Suez]] upande wa magharibi na [[Ghuba ya Aqaba]] upande wa mashariki. Upande wa magharibi [[Mfereji wa Suez]] unaunganisha Bahari ya Shamu na [[Mediteranea]]. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na [[Israel]].
Eneo la Sinai ni takriban 60,000 km² hasa [[jangwa]]. Imepakana na [[Ghuba ya Suez]] upande wa magharibi na [[Ghuba ya Aqaba]] upande wa mashariki. Upande wa magharibi [[Mfereji wa Suez]] unaunganisha Bahari ya Shamu na [[Mediteranea]]. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na [[Israel]] au Tabaa-Rafah Staights na Negev.


Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni [[mlima Sinai]] (pia: mlima Horeb, jabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] za [[Mungu]].
Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni [[mlima Sinai]] (pia: mlima Horeb, jabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] za [[Mungu]].

Pitio la 16:50, 8 Agosti 2011

Rasi ya Sinai, Ghuba ya Suez (magh.), Ghuba ya Aqaba (mash.) inavyoonekana kutoka angani

Rasi ya Sinai (Kiar.: sina' سيناء) ni rasi yenye umbo la pembetatu nchini Misri upande wa kaskazini ya Bahari ya Shamu inayounganisha bara za Africa na Asia. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi.

Eneo la Sinai ni takriban 60,000 km² hasa jangwa. Imepakana na Ghuba ya Suez upande wa magharibi na Ghuba ya Aqaba upande wa mashariki. Upande wa magharibi Mfereji wa Suez unaunganisha Bahari ya Shamu na Mediteranea. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na Israel au Tabaa-Rafah Staights na Negev.

Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni mlima Sinai (pia: mlima Horeb, jabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako Musa alipokea amri kumi za Mungu.

Kwenye pwani la rasi utalii ni sehemu muhimu ya uchumi.