Majadiliano ya mtumiaji:71.7.235.207

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Welcome and thank you for experimenting with Wikipedia. Your test on the page Mafuta ya petroli worked, and it has been reverted. Please take a look at the help page to learn more about contributing to this encyclopedia. Regards, Ruy Pugliesi 16:27, 13 Juni 2011 (UTC)Reply[reply]

Bwana naomba ujiandikishe. Unaonyesha hamu ya kushiriki lakini bado hujazoea mitambo yetu. Utapata maelezo na misaada yote. Ila tu ukiendelea kama sasa bila kujitambulisha na kupokea ushauri anwani yako itazuiliwa karibuni nami. --Kipala (majadiliano) 17:26, 14 Juni 2011 (UTC)Reply[reply]

Nimekuzuia kwa wiki 2 tu. Nahofia ya kwamba hutasoma hii lakini ukiikuta naomba upige hodi kwangu Majadiliano ya mtumiaji:Kipala ama ukitumia kompyuta tofauti au intenet cafe tofauti au ukisubiri wiki 2. Tuko tayari kukusaidia lakini wewe hukuweza kuendelea jinsi uliovyofanya. Uliharibu makala kadhaa. Ninafikiri hujafanya kwa nia baya hii ni sababu ninakuandikia hapa. --Kipala (majadiliano) 09:58, 18 Juni 2011 (UTC)Reply[reply]


Huu ni ukurasa wa majadiliano wa mtumiaji ambaye hana jina na bado hajaumba akaunti bado, au hajawahi kutumia kabisa.

Kwa hiyo tunatumia namba za anwani ya IP yake kumtambulisha. Anwani ya IP kama hiyo inaweza kutumika na watumiaji kadhaa. Labda itakusumbua kwamba kuna maoni mengine yanawekwa hapa na unaamini kwamba haya maoni hayakulengi. Ikiwa hivyo, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganywa na watumiaji wengine ambao hawana jina.