Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px|Makao makuu ya kimataifa huko [[Brooklyn]], [[New York]], Marekani.]]
Mashahidi wa Yehova ni dini ya kikristo ambayo ilianzia marekani na kuenea ulimwenguni pote.Mwanzilishi wa kikundi alikuwa charles taze russel pamoja na kikundi kimoja cha wanafunzi wa biblia.
'''Mashahidi wa Yehova''' (kwa [[Kiingereza]] '''Jehovah's Witnesses''') ni wafuasi wa [[dini]] ya [[Ukristo|Kikristo]] ambayo ilianzia [[Marekani]] na kuenea ulimwenguni kote.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao.

[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka [[1931]].

Kwa sasa wako milioni 7.5 katika jumuia 107,210 (kadiri ya ''2011 Yearbook of Jehovah's Witnesses''). Ongezeko ni la asilimia 2.5 kwa mwaka.

==Hoja dhidi yao==
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova kutokana na jinsi walivyotafsiri Biblia, mafundisho yao, utabiri usiotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.

Katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, au bado ni marufuku.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

==Marejeo==
* ''Jehovah's Witnesses: Portrait of a Contemporary Religious Movement'' by Andrew Holden. An academic study on the sociological aspects of Jehovah's Witnesses phenomenon. Publisher: Routledge; 1st edition 2002, ISBN 9780415266109.
* ''Jehovah's Witnesses—Proclaimers of God's Kingdom'' (1993) by [[Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania]]. Official history of the development of the beliefs, practices, and organisational structure of Jehovah's Witnesses.
* ''Counting the Days to Armageddon'' by Robert Crompton (1996). A detailed examination of the development of Jehovah's Witnesses' eschatology. James Clarke & Co, Cambridge, ISBN 0227679393.
* ''Millions Now Living Will Never Die'' by Alan Rogerson. Detailed history of the Watch Tower movement, particularly its early years, a summary of Witness doctrines and the organizational and personal framework in which Witnesses conduct their lives. Constable & Co, London, 1969. SBN 094559406
* ''State and Salvation'' by William Kaplan (1989). Documents the Witnesses' fight for civil rights in Canada and the US amid political persecution during World War II. University of Toronto Press, ISBN 0802058426.

==Viungo vya nje==
{{Commons category|Jehovah's Witnesses}}
<!-- Please discuss any links you wish to add to this list on this article's talk page before adding them. To avoid spam, link creep, and keep the resources in this section of high quality, we want to discuss any external resource inclusion before it is added. Thank you! -->

===Tovuti rasmi===
* [http://www.watchtower.org ''Watchtower''<sup>®</sup> - Official Web Site of Jehovah's Witnesses]
* [http://www.jw.org ''Worldwide Association of Jehovah’s Witnesses'' - Publication downloads in various digital formats]
* [http://www.jw-media.org Jehovah's Witnesses Official Media Web Site]

===Tovuti nyingine===
<!-- Please discuss any books you wish to add to this list on this article's talk page before adding them. To avoid spam, link creep, and keep the resources in this section of high quality, we want to discuss any external resource inclusion before it is added. Thank you! -->
* [http://www.knocking.org/ 'Knocking'] – A documentary about Jehovah's Witnesses. [http://www.youtube.com/watch?v=Oj4cS4n9ZkA Sample Trailer]
* [http://www.theocraticlibrary.com/downloads/Why_Jehovah's_Witnesses_Grow_So_Rapidly.pdf Why Do Jehovah's Witnesses Grow So Rapidly: A Theoretical Explanation] – Theory documented by sociologists Rodney Stark & Laurence R. Iannaccone.
* [http://jehovahs-witnesses-beliefs.info/ Who are Jehovah's Witnesses, What are their beliefs] Chapter from book, Religious Denominations In The United States by Frank S. Mead, Samuel S. Hill and Craig D. Atwood, (2005). Abingdon Press.

{{mbegu-dini}}

[[Category:Dini]]
[[Category:Ukristo]]

[[af:Jehovah se Getuies]]
[[ar:شهود يهوه]]
[[ast:Testigos de Xehová]]
[[ay:Jehová Diosan Qhanañchirinakapaxa]]
[[az:Yehovanın Şahidləri]]
[[zh-min-nan:Iâ-hô-hoa Kiàn-chèng-jîn]]
[[bs:Jehovini svjedoci]]
[[bg:Свидетели на Йехова]]
[[ca:Testimonis de Jehovà]]
[[ceb:Mga Saksi ni Heoba]]
[[cs:Svědkové Jehovovi]]
[[tum:Ŵakaboni ŵa Yehova]]
[[cy:Tystion Jehovah]]
[[da:Jehovas Vidner]]
[[pdc:Jehovah's Witness]]
[[de:Zeugen Jehovas]]
[[et:Jehoova tunnistajad]]
[[el:Μάρτυρες του Ιεχωβά]]
[[en:Jehovah's Witnesses]]
[[es:Testigos de Jehová]]
[[eo:Atestantoj de Jehovo]]
[[eu:Jehovaren Lekukoak]]
[[ee:Yehowa Ðasefowo]]
[[fa:شاهدان یهوه]]
[[fo:Jehova Vitni]]
[[fr:Témoins de Jéhovah]]
[[fy:Jehova's Tsjûgen]]
[[fur:Testemonis di Jeova]]
[[gl:Testemuñas de Xehová]]
[[ko:여호와의 증인]]
[[hy:Եհովայի վկաներ]]
[[hr:Jehovini svjedoci]]
[[io:Testanti di Jehovah]]
[[id:Saksi-Saksi Yehuwa]]
[[ia:Testes de Jehovah]]
[[is:Vottar Jehóva]]
[[it:Testimoni di Geova]]
[[he:עדי יהוה]]
[[ka:იეჰოვას მოწმეები]]
[[kw:Dustunyoryon Yehovah]]
[[kg:Bambangi ya Yehowa]]
[[ht:Jehovah's Witnesses]]
[[ku:Şahidên Yahowa]]
[[la:Testes Iehovah]]
[[lv:Jehovas liecinieki]]
[[lt:Jehovos liudytojai]]
[[hu:Jehova tanúi]]
[[mk:Јеховини сведоци]]
[[ml:യഹോവയുടെ സാക്ഷികൾ]]
[[mi:Nga Kaiwhakaatu o Ihowa]]
[[mr:जेहूव्हाचे साक्षीदार]]
[[arz:شهود يهوه]]
[[ms:Saksi Jehovah]]
[[mwl:Teçtemunhas de Jeobá]]
[[nah:Tēmelāhuanimeh Jehová]]
[[nl:Jehova's getuigen]]
[[ja:エホバの証人]]
[[no:Jehovas vitner]]
[[nn:Jehovas vitne]]
[[pap:Testigunan di yehova]]
[[pl:Świadkowie Jehowy]]
[[pt:Testemunhas de Jeová]]
[[ro:Organizația Religioasă Martorii lui Iehova]]
[[ru:Свидетели Иеговы]]
[[sg:A-Témoin ti Jéhovah]]
[[tn:Basupi ba ga Jehova]]
[[sq:Dëshmitarët e Jehovait]]
[[simple:Jehovah's Witnesses]]
[[ss:Fakazi baJehova]]
[[sk:Svedkovia Jehovovi]]
[[sl:Jehovove priče]]
[[srn:Jehovah Kotoigi]]
[[sr:Јеховини сведоци]]
[[sh:Jehovini svjedoci]]
[[fi:Jehovan todistajat]]
[[sv:Jehovas vittnen]]
[[tl:Mga Saksi ni Jehova]]
[[ta:யெகோவாவின் சாட்சிகள்]]
[[th:พยานพระยะโฮวา]]
[[tr:Yehova'nın Şahitleri]]
[[uk:Свідки Єгови]]
[[vi:Nhân Chứng Giê-hô-va]]
[[ts:Timhoni Ta Yehovha]]
[[zh:耶和華見證人]]

Pitio la 12:21, 27 Julai 2011

Makao makuu ya kimataifa huko Brooklyn, New York, Marekani.

Mashahidi wa Yehova (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini ya Kikristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.

Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.

Kwa sasa wako milioni 7.5 katika jumuia 107,210 (kadiri ya 2011 Yearbook of Jehovah's Witnesses). Ongezeko ni la asilimia 2.5 kwa mwaka.

Hoja dhidi yao

Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova kutokana na jinsi walivyotafsiri Biblia, mafundisho yao, utabiri usiotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.

Katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, au bado ni marufuku.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

Marejeo

  • Jehovah's Witnesses: Portrait of a Contemporary Religious Movement by Andrew Holden. An academic study on the sociological aspects of Jehovah's Witnesses phenomenon. Publisher: Routledge; 1st edition 2002, ISBN 9780415266109.
  • Jehovah's Witnesses—Proclaimers of God's Kingdom (1993) by Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. Official history of the development of the beliefs, practices, and organisational structure of Jehovah's Witnesses.
  • Counting the Days to Armageddon by Robert Crompton (1996). A detailed examination of the development of Jehovah's Witnesses' eschatology. James Clarke & Co, Cambridge, ISBN 0227679393.
  • Millions Now Living Will Never Die by Alan Rogerson. Detailed history of the Watch Tower movement, particularly its early years, a summary of Witness doctrines and the organizational and personal framework in which Witnesses conduct their lives. Constable & Co, London, 1969. SBN 094559406
  • State and Salvation by William Kaplan (1989). Documents the Witnesses' fight for civil rights in Canada and the US amid political persecution during World War II. University of Toronto Press, ISBN 0802058426.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tovuti rasmi

Tovuti nyingine

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.