Tofauti kati ya marekesbisho "Wazigula"

Jump to navigation Jump to search
2 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(→‎Lugha: move translations to kizigula)
 
Maana ya Zigua ni kuchukua au ukamata eneo. Miaka mingi iliyopita Wazigua walipigana vita na kuyashinda makabila ya [[Wabondei]] na [[Wasambaa]]. Makabila hayo yaliyoshindwa vita yalikimbiliia maeneo ya mabondeni na mengine kusambaa milimani, Wabondei huko Mabondeni, na Wasambaa walisambalia [[milima ya Usambara]]. Na ndio chanzo cha majina ya makabila haya, kwani kabla ya hapo
walikuwa wakiishi pamoja kama koo za jamii moja. Na walijulikana kwa jina la BOSHAZIBoshazi maana yake Bondei, Zigua, Sambaa.
 
== Kumtambua m-Boshazi ==
Mila ya kutahiri wanawake imekuwa ikipigwa marufuku na serikali mbalimbali za ulimwenguni kuwa ni kinyume cha haki za binaadamu, hivyo basi kuna mila ambazo zinakomeshwa na serikali za nchi na nyingine zinapotea zenyewe taratibu kutokana na kubadilika kwa hali ya maisha, hivyo ili kutunza mambo haya yasije kusahaulika vyema kuweka kumbukumbu ya asili zetu. Tumetumbukia katika masuala ya utandawazi kiasi ambacho tunashindwa hata kutambua miiko yetu au asili zetu, kwa kweli ni mambo ya kusikitisha sana si ajabu kwetu sisi wazee tutakapoondoka basi haya nayo yatapotea.
 
Mimi kama mzigua ningependa kuandika haya na kujaribu kukumbuka mambo ya kiasili ya “KIZIGUA”“Kizigua” kwa yale ambayo nayafahamu na nisiyo yafahamu nitafurahi na kushukuru sana endapo nitakosolewa na kupewa mwelekezo wa kizigua nami niweze kuwarithisha watoto, wajukuu, vitukuu au vizazi vyangu kwa ujumla.
 
Katika kabila la Wazigua, kutoa majina kwa watoto wanaozaliwa huzingatia wakati, mahali, na mahusiano. Kila mzigua lazima awe na jina la asili na la kidini, mfano Andrew Kizenga Shundi jina lake la asili anaitwa Chamdoma (dyauta netangwa Chamdoma, Dyamwale), kiasili majina hutolewa wakati mtu anapozaliwa (Chamdoma), Dyamwale anapotoka kutahiriwa na kuchezewa ngoma na kukabidhiwa upinde, na hivyo hupewa jina na kuwa kijana wa kizigua aliyefikia utu uzima. Anapooa huitwa Samachau, na anaeolewa Wanamachau.
(dyauta netangwa Chamdoma, Dyamwale), kiasili majina hutolewa wakati mtu anapozaliwa(Chamdoma), Dyamwale anapotoka kutahiriwa na kuchezewa ngoma na kukabidhiwa upinde, na hivyo hupewa jina na kuwa kijana wa kizigua aliyefikia utu uzima. Anapooa huitwa Samachau, na anaeolewa Wanamachau.
 
Idizina bya Ngasu netangwa Samachau ni jina apewalo mtu mzima aliepata mchumba na kuoa. WaziguaWazigula hupewa jina litakalo tumika wakati na baada ya ndoa, badala ya kuitwa ANDREW Andrew hivi sasa naitwa SAMACHAUSamachau na mke wangu anaitwa WANAMACHAUWanamachau. Hivyo utaona yakuwa “SA” inakwenda kwa mwanaume na “WA” inakwenda kwa mama wa watoto.
 
Kwa maana hiyo baada ya kumaliza tukio la kuoa na kumaliza deni la mahali na vihendo (zawadi au vitu vitolewavyo kutoka upande wa muoaji kwenda kwenye familia ya muolewaji) ulivyotakiwa kupeleka ukweni kwa mfano zawadi kama zogoro dya chunji, koti dya sachibwela, ngubula mlomo, kisingisa magutwi, kumwonelahi, Nk.
 
Basi hayo mambo ya asili ya kizigua, ambayo kabila hili hujivunia. Wazee wa kizigua kama Marehemu Mzee Gerald Fredrik Kizenga Shundi ambaye ni mzaliwa wa Handeni (Mandela), alikuwa mtoto wa kwanza wa mzee Fedrik Kizenga Shundi na ni mmoja kati ya watoto 8 wa Mzee huyu alizaliwa na [[mama TEREZATeresa]], huyu bibi asili yake ilikuwa Vugiri huko Kwa magome. Mzee huyu (Gerald) alikuwa akihimiza vijana kwa wazee kudumisha mila na desturi za kizigua katika uhai wake.
 
Kwahiyo miji ya asili ya Wazigua wa ukoo wa Shundi na chimbuko la Mzee Gerald Shundi ni Mandela ya Handeni na alikuwa ni wa MWEMNUN’GULI SAMNANDUGWA upande wa Baba yake, ni Chiva na Nunguli ni upande wa mama mwanae Andrew Kizenga Shundi, asili yake ni Pongwe ya KIDELEKO kama unakwenda Kwa Magome.
20,706

edits

Urambazaji