Majadiliano:Wazigula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nashauri pia watu wapendao historia ya makabila ya Tanga wasome vitabu vilivyoandikwa na mwandishi VINCENT GEOFFREY NKONDOKAYA kama ifuatavyo:-

1. ASILI YA WASEUTA : yaani WAZIGUA, WASAMBAA, WABONDEI, WANGUU na WAKILINDI

2. ASILI YA WAZIGUA WAISHIO SOMALIA : pamoja na asili fupi ya WAZIGUA, WASAMBAA, WABONDEI, WANGUU na WAKILINDI

3. ASILI YA TANGA, WADIGO WASEGEJU NA WADAISO


Msomaji aliyesoma vitabu hivi