Adalbert wa Prague : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Badiliko: ca:Adalbert de Praga
Mstari 18: Mstari 18:


[[be:Адальберт Пражскі]]
[[be:Адальберт Пражскі]]
[[ca:Sant Adalbert de Praga]]
[[ca:Adalbert de Praga]]
[[cs:Svatý Vojtěch]]
[[cs:Svatý Vojtěch]]
[[csb:Swiãti Wòjcech]]
[[csb:Swiãti Wòjcech]]

Pitio la 10:25, 28 Oktoba 2009

Adalbert wa Prague

Adalbert wa Prague (kwa Kicheki Vojtěch, kwa Kipolandi Wojciech, kwa Kijerumani Adalbert) alizaliwa Libice takriban mwaka 956 – akauawa tarehe 23 Aprili, 997) akiwa askofu mmisionari katika mji wa Prague (Ucheki).

Mwaka 999 alitangazwa kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 23 Aprili.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.