Abihu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-mtu-Biblia
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Abihu''' alikuwa mwana wa [[Aroni]] anayetajwa katika [[Agano la Kale]], au [[Biblia]] ya Kiebrania katika kitabu cha [[Walawi (Biblia)|Walawi]], kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1. Pamoja na kaka yake [[Nadabu]] alifanya kosa mbele ya [[Mungu]] na kuteketezwa na moto.
'''Abihu''' alikuwa mwana wa [[kuhani mkuu]] [[Aroni]] ambaye pamoja na kaka yake [[Nadabu]] alifanya kosa mbele ya [[Mungu]] na kuteketezwa na moto katika [[jangwa]] la [[Sinai]].

Ametajwa katika [[Biblia ya Kiebrania]], ambayo ni sehemu ya [[Biblia ya Kikristo]] ([[Agano la Kale]]), katika kitabu cha [[Walawi (Biblia)|Walawi]], kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1.


{{mbegu-mtu-Biblia}}
{{mbegu-mtu-Biblia}}

Pitio la 18:34, 19 Septemba 2009

Abihu alikuwa mwana wa kuhani mkuu Aroni ambaye pamoja na kaka yake Nadabu alifanya kosa mbele ya Mungu na kuteketezwa na moto katika jangwa la Sinai.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika kitabu cha Walawi, kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abihu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.