Abihu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abihu alikuwa mwana wa kuhani mkuu Aroni ambaye pamoja na kaka yake Nadabu alifanya kosa mbele ya Mungu na kuteketezwa na moto katika jangwa la Sinai.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika kitabu cha Walawi, kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1.

Saint-stub-icon.jpg Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abihu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.