Nadabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadabu alikuwa mwana wa Aroni anayetajwa katika Biblia ya Kiebrania (na hivyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo), katika kitabu cha Walawi, kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1.

Pamoja na kaka yake Abihu alifanya kosa mbele ya Mungu na kuteketezwa na moto katika eneo la Sinai.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadabu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.