Adalbert wa Magdeburg : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: it:Adalberto di Magdeburgo
mbegu-Mkristo
Mstari 10: Mstari 10:
Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa [[mtawa]] katika mji wa [[Trier]].
Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa [[mtawa]] katika mji wa [[Trier]].


Baada ya kuwekwa wakfu kama [[askofu]], mwaka [[961]] alitumwa mjini [[Kiev]]([[Ukraina]]) kama [[mmisionari]].
Baada ya kuwekwa wakfu kama [[askofu]], mwaka [[961]] alitumwa mjini [[Kiev]] ([[Ukraine]]) kama [[mmisionari]].


Kundi lake lote liliuawa, naye peke yake aliweza kurudi Ujerumani.
Kundi lake lote liliuawa, naye peke yake aliweza kurudi Ujerumani.
Mstari 31: Mstari 31:
[[Category:Waliofariki 981]]
[[Category:Waliofariki 981]]


{{mbegu}}
{{mbegu-Mkristo}}


[[de:Adalbert von Magdeburg]]
[[de:Adalbert von Magdeburg]]

Pitio la 15:08, 16 Juni 2009

Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg

Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg (alifariki tarehe 20 Juni, 981) alikuwa askofu mkuu wa kwanza wa mji wa Magdeburg, Ujerumani.

Ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni 20 Juni.

Maisha

Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa mtawa katika mji wa Trier.

Baada ya kuwekwa wakfu kama askofu, mwaka 961 alitumwa mjini Kiev (Ukraine) kama mmisionari.

Kundi lake lote liliuawa, naye peke yake aliweza kurudi Ujerumani.

Baadaye aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa dayosisi ya Magdeburg.

Alianzisha madayosisi mapya pengi upande wa Mashariki wa Ujerumani, kama katika miji ya Naumburg, Meißen, Merseburg, Brandenburg, Havelberg, na Poznan.

Mwanafunzi wake mmoja aliyetangazwa kuwa mtakatifu kama yeye ni Adalbert wa Praha.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.