107,251
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
{{Sakramenti}}
[[Picha:Bologna marriage.jpg|thumb|
'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
Pamoja na [[Daraja takatifu]] ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia [[ushirika]].▼
Ni muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, unaofanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa.▼
==Fumbo la ndoa==
''"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."'' ([[Injili ya Mathayo]] 19:6).▼
▲
==Adhimisho la sakramenti ya ndoa==
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]], lakini wanakubali katika mazingira ya pekee iweze kufungwa na wanaarusi mbele ya mashahidi wawili hata bila ya kuwepo [[kasisi|padri]] .
Kumbe Waorthodoksi wanahesabu [[baraka]] ya padri kuwa sehemu ya lazima ya sakramenti, ambayo wanaarusi wanapewa.
▲Pamoja na [[Daraja takatifu]] ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia [[ushirika]].
==Kubariki ndoa kwa Waprotestanti==
Kwa
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/holy_father/leo_xiii/encyclicals/documents/hf_l-xiii_enc_10021880_arcanum_en.html ''Arcanum''] Barua ya [[Papa Leo XIII]] kuhusu Ndoa ya Kikristo
[[Jamii:Liturujia]]
|