Hipparchos wa Nikaia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboto: sl:Hiparh estas artikolo elstara
d roboti Nyongeza: ko:히파르쿠스
Mstari 11: Mstari 11:
[[Category:Hisabati]]
[[Category:Hisabati]]
[[Category:Wataalamu Ugiriki ya Kale]]
[[Category:Wataalamu Ugiriki ya Kale]]

{{Link FA|sl}}


[[ar:أبرخش]]
[[ar:أبرخش]]
Mstari 31: Mstari 33:
[[it:Ipparco di Nicea]]
[[it:Ipparco di Nicea]]
[[ja:ヒッパルコス]]
[[ja:ヒッパルコス]]
[[ko:히파르쿠스]]
[[lb:Hipparchos vu Nicäa]]
[[lb:Hipparchos vu Nicäa]]
[[lt:Hiparchas (astronomas)]]
[[lt:Hiparchas (astronomas)]]
Mstari 41: Mstari 44:
[[simple:Hipparchus]]
[[simple:Hipparchus]]
[[sk:Hipparchos]]
[[sk:Hipparchos]]
[[sl:Hiparh]] {{Link FA|sl}}
[[sl:Hiparh]]
[[sr:Хипарх са Родоса]]
[[sr:Хипарх са Родоса]]
[[sv:Hipparchos]]
[[sv:Hipparchos]]

Pitio la 11:44, 10 Agosti 2008

Faili:Hipparchos 1.jpeg
Hipparchos

Hipparchos (Kigiriki Ἵππαρχος; takr. 190 KK hadi takr. 120 KK) alikuwa mtaalamu wa falaki, jiografia na hisabati wa Ugiriki ya Kale.

Alizaliwa mjini Nikaia (leo: Iznik katika Uturuki) akafariki kwenye kisiwa cha Rhodos. Hutazamiwa kama mwanafalaki muhimu kabisa wa nyakati za kale.

Aliorodhesha nyota 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria kupatwa kwa jua na kukutabiri.

Katika hisabati alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa duara kuwa na nyuzi 360.

Kigezo:Link FA